Mussa Zungu: Wabunge mnaoleta michango kwa Karatasi, mnachafua Mazingira

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge kuacha kutumia makaratasi wanapofanya shughuliza kibunge.

Amesema kitendo cha kutumia karatasi ni uchafuzi wa mazingira hivyo wabunge watumie mifumo ya kidijitali katika kutekeleza majukumu yao ya kibunge.

Your browser is not able to display this video.
 
Khaaaa.....🤨 huyu baba huyu, utadhani hatokei Ilala....🤣
 
MIfumo wanaishangaa tu,, hata wabunge kushika mouse hawajui
Kasongo yeye
 
Wasitumie nini? Toilet paper?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…