Mustaafu: Huyo usimguse, ana madhara

Mustaafu: Huyo usimguse, ana madhara

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
"...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa!

Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi..

Nenda naye hadi 2025 Mollah akijalia halafu zalisheni upinzani wa kweli Jimboni kwake na uhakikishe anashindwa uchaguzi na hapo utakuwa huna lawama...

Kijana mkazanie hilo la umeme lisije mharibia kama ni marekebisho wafanye JITIHADA haraka yamalizike kikubwa kuanzia 2024 mwanzoni hakikishe tatizo la umeme kukatikakatika lisiwepo."

NB: Mpende msipende February ndiye PM wenu kuanzia 2025 -
 
Kuna watu mnaamini mmekuja kuota hâta duniani eeh? Yani kwa uhakika kabisa eit "mpende msipende", si ajabu wewe mwenyewe usiwepo hiyo 2025 au huyo unaemzungmzia.

Punguzeni ujinga na utahira.
 
Ridhiwan ni Waziri tena wizara ya ardhi
 
Hv uko Ikulu kuna nini watu wanaota usiku na mchana waingie…
 
"...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa!

Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi..

Nenda naye hadi 2025 Mollah akijalia halafu zalisheni upinzani wa kweli Jimboni kwake na uhakikishe anashindwa uchaguzi na hapo utakuwa huna lawama...

Kijana mkazanie hilo la umeme lisije mharibia kama ni marekebisho wafanye JITIHADA haraka yamalizike kikubwa kuanzia 2024 mwanzoni hakikishe tatizo la umeme kukatikakatika lisiwepo."

NB: Mpende msipende February ndiye PM wenu kuanzia 2025 -
Akili zako naona zina vuja sehemu na huyo Makamba wako.

Kwa taarifa yako Makamba hatakaa aukwae upm maana hana sifa hizo
 
naona umbeya na habari za kutunga zinaendelea ...
 
Unamaanisha yuko pale kama pambo hajui chochote anafundishwa kila analofanya?

Hili la kuwatumbua mawaziri aliodai wanajipanga kaa 2025 ndio kajitega mwenyewe bila kujua, maana yake hao wapya aliowaweka na waliopo ndio timu yake kuelekea 2025, hapo "nchi inajengwa" kwa kuwaza 2025.
 
"...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa!

Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi..

Nenda naye hadi 2025 Mollah akijalia halafu zalisheni upinzani wa kweli Jimboni kwake na uhakikishe anashindwa uchaguzi na hapo utakuwa huna lawama...

Kijana mkazanie hilo la umeme lisije mharibia kama ni marekebisho wafanye JITIHADA haraka yamalizike kikubwa kuanzia 2024 mwanzoni hakikishe tatizo la umeme kukatikakatika lisiwepo."

NB: Mpende msipende February ndiye PM wenu kuanzia 2025 -
Umesafisha kabuli hapo chato leo?
 
Unamaanisha yuko pale kama pambo hajui chochote anafundishwa kila analofanya?

Hili la kuwatumbua mawaziri aliodai wanajipanga kaa 2025 ndio kajitega mwenyewe bila kujua, maana yake hao wapya aliowaweka na waliopo ndio timu yake kuelekea 2025, hapo "nchi inajengwa" kwa kuwaza 2025.
Wale halisi wanaoutaka urais kabaki nao.

Yaani ndio anaowaamini kabisa.
 
Back
Top Bottom