Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wenzako ni waamini wa pasi ndefu.Corona haitakuwepo?
Januari ni sawa sawa na Ridhiwani.February na upara wake ndo awe pm mnaota nyie
Ridhiwan ni Waziri tena wizara ya ardhiKuna watu mnaamini mmekuja kuota hâta duniani eeh? Yani kwa uhakika kabisa eit "mpende msipende", si ajabu wewe mwenyewe usiwepo hiyo 2025 au huyo unaemzungmzia.
Punguzeni ujinga na utahira.
Wewe unapenda nywele nyingi?!!February na upara wake ndo awe pm mnaota nyie
Akili zako naona zina vuja sehemu na huyo Makamba wako."...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa!
Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi..
Nenda naye hadi 2025 Mollah akijalia halafu zalisheni upinzani wa kweli Jimboni kwake na uhakikishe anashindwa uchaguzi na hapo utakuwa huna lawama...
Kijana mkazanie hilo la umeme lisije mharibia kama ni marekebisho wafanye JITIHADA haraka yamalizike kikubwa kuanzia 2024 mwanzoni hakikishe tatizo la umeme kukatikakatika lisiwepo."
NB: Mpende msipende February ndiye PM wenu kuanzia 2025 -
Hv uko Ikulu kuna nini watu wanaota usiku na mchana waingie…
Safi sanaBata wewe
Umesafisha kabuli hapo chato leo?"...Huyo jamaa wewe wala usihangaike naye nenda naye hadi 2025 kwa tahadhari kubwa!
Ukimtoa pale kwa panga hili italeta maneno mengi sana mtaani kwa sababu ana wengi waaminio ni mchapakazi..
Nenda naye hadi 2025 Mollah akijalia halafu zalisheni upinzani wa kweli Jimboni kwake na uhakikishe anashindwa uchaguzi na hapo utakuwa huna lawama...
Kijana mkazanie hilo la umeme lisije mharibia kama ni marekebisho wafanye JITIHADA haraka yamalizike kikubwa kuanzia 2024 mwanzoni hakikishe tatizo la umeme kukatikakatika lisiwepo."
NB: Mpende msipende February ndiye PM wenu kuanzia 2025 -
Corona ni shidaaa !!!Corona haitakuwepo?
Wale halisi wanaoutaka urais kabaki nao.Unamaanisha yuko pale kama pambo hajui chochote anafundishwa kila analofanya?
Hili la kuwatumbua mawaziri aliodai wanajipanga kaa 2025 ndio kajitega mwenyewe bila kujua, maana yake hao wapya aliowaweka na waliopo ndio timu yake kuelekea 2025, hapo "nchi inajengwa" kwa kuwaza 2025.