Mustaafu: Huyo usimguse, ana madhara

Huyo akipewa UPM basi ndoto zake za kuwa prezadaa zinaishia hapo
 
Hata Mh Jobu alisemaga "atake asitake Tutaongeza Muda"
Lakini Cha kushangaza leo hii mmoja kafariki mwingine Kashinikizwa kujiuzulu...

Mungu ndiye anajua kesho
 

Hata hivyo Majaliwa hichi Ni kipindi chake Cha mwisho. Sidhani Kama anahitaji tena miaka mitano ya uwaziri mkuu.
 
Sumaye pamoja na kuitwa mr.zero ana akili za malezi kuliko Makamba Jr.(akili za darasani mmoja kaiba mitihani kwahiyo sioni haja ya kuwalinganisha kwenye Hilo)
Kwa lugha ya vijana Makamba ni kiazi ila jina la baba ndio limembeba miaka yote.
 
Kama Riziwani kawa waziri awamu hii anashindwaje Makamba kuwa PM! Kwa sasa kila kitu kinawezekana.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hamukuanza leo kumpigia kampeini Makamba lkn lazima mjue kuwa historia ni shahidi wa kweli hapa duniani
 
Hata hivyo Majaliwa hichi Ni kipindi chake Cha mwisho. Sidhani Kama anahitaji tena miaka mitano ya uwaziri mkuu.
Majaliwa hatakiwi kutolewa kwasbabu, ukimtoa maana yake unaongeza tu mzigo kwa serikali wa kulea wastaafu.

Na akimaliza sasa hivi atakuwa amekuwa PM kwa miaka 10 kwahiyo sidhani kama anatakiwa kiwa zaidi ya hapo.

Tatizo la vijana wa sasa hivi wakishapiga Kiwingu wanajifanya wamepata dondoo za siri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utabiri wa Padri John (Yehya) unaenda kutimia bila pingamizi lolote kama kuna mtu ataendelea kushikiwa akili
 
Alisikika Mzee mmoja wa Makamo akimweleza Bibi yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…