The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Apumzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepiga hesabu kwa kutumia calculator ya simu gani mkuu?Kwa umri huo hana anachomdai Mungu maana tayari keshatumia pension ya miaka 8!
Mmmh, mtu ypo kitandani miezi mitatu we useme ivoDah huyu mzee mwezi uliopita nilionana nae pale Shoppers plaza Supermarket
Kichwa chako kina matope? Mtu kafariki usiku wa kuamkia Leo sasa mazishi yamechelewaje?Pole wafiwa
Amefia wapi mkuu, siyo kawaida kuchelewesha mazishi kiasi hicho
Mimi sikuzungumzia miaka ya ustaafu mkuu! Huwa mnasoma haraka mno bila kutafakari! Nimezungumzia miaka tuliyoahidiwa katika Biblia! Miaka ya mwanadamu kuishi ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 nayo imejaa taabu! Kwa hiyo hii 10 inayoongezeka ndiyo pension yenyewe!Umepiga hesabu kwa kutumia calculator ya simu gani mkuu?
Mtu alibakiza miaka 2 kugonga 80 !
Ni sawa tu!Maisha bhana!
Mahela yote aliyofisafidi watakula wengine tu.
Oooh!Mimi sikuzungumzia mikaa ya ustaafu mkuu! Huwa mnasoma haraka mno bila kutafakari! Nimezungumzia miaka tuliyoahidiwa katika Biblia! Miaka ya mwanadamu kuishi ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 nayo imejaa taabu! Kwa hiyo hii 10 inayoongezeka ndiyo pension yenyewe!
Maalim Seif alifariki asubuhi akazikwa jioni, huyu kafa Ijumaa anazikwa JumapiliKichwa chako kina matope? Mtu kafariki usiku wa kuamkia Leo sasa mazishi yamechelewaje?
R.I.P. Prof. MustafaAliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
View attachment 2980376
Roho ya chuki inakutafuna......acha kujaza roho ya chuki inakutafuna na kukuharibu we mwenyewe.Chadema watakwambia amekataliwa na Mungu
Poleni sana wafiwa.Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
View attachment 2980376
Asante mkuu tumeshapoaPoleni sana wafiwa.
Mungu awape faraja na subira