TANZIA Mustafa Mkulo afariki dunia, Alikuwa Waziri wa Fedha kwenye Awamu ya Nne

Umepiga hesabu kwa kutumia calculator ya simu gani mkuu?
Mtu alibakiza miaka 2 kugonga 80 !
Mimi sikuzungumzia miaka ya ustaafu mkuu! Huwa mnasoma haraka mno bila kutafakari! Nimezungumzia miaka tuliyoahidiwa katika Biblia! Miaka ya mwanadamu kuishi ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 nayo imejaa taabu! Kwa hiyo hii 10 inayoongezeka ndiyo pension yenyewe!
 
Oooh!
Mwenzako nilikuwa nawaza ustaafu wa ajira.
 
R.I.P. Prof. Mustafa
 
Poleni sana wafiwa.
Mungu awape faraja na subira
 
Poleni sana wanafamilia, ndugu na jamaa wote wa marehemu.

Mungu mwenye huruma awajalie neema ya kuyapokea mapenzi yake kwa moyo wa unyenyekevu na imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…