Mustafa Mkulo atoka mbio kukwepa ghadhabu ya wananchi Dumila

Na hao wananchi wapigwe tu, maana tumeshachoka...M.P.K.PINDA(MB) - 2013
 
hao wananchi wanafiki walipokuwa wanahongwa kanga na kofia na elfu ishirini walikuwa hajui km itaji muhimu kuliko hzo kofia na khanga, imekula kwao hao ndy magamba
 

Huo ni uongo. Si kweli.
 

haya mzee mkullo tueleze namna ulivyoondoka.......
 
mkulo ni fisadi na hao wananchi wanapaswa kupanga revange yeye si kakimbia na RANGE asiludi tena huko
 
Wangempiga tu hilo Vogue wangelivunjavunja; fisadi mkubwa huyu!!!
 
UPDATES=======

Mkulo atangaza vita na CCM Kilosa... Ni matokeo ya mkutano wake wa hadhara na kikao cha ndani cha ccm Dumila jana. Amemtukana diwani wa Dumila, bwana Japhet Kasanga kwamba *ameolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri, bwana Ameir (ambaye ana interest na jimbo 2015). Baada ya kuzomewa na kutimka mbio jana, ametoa taarifa kwa mara nyingine kwamba HATAGOMBEA TENA na amekilaani chama chake kwamba kitapoteza Halmashauri hiyo 2015 na ameapa kutowapa ushirikiano wowote.

My take:
Mzee anaonekana kujaa stress za kuukosa uwaziri...
 
Huyu Mzee alishawahi kumtaifisha gf wa mshkaji wakati tuko sekondari.

Zee zima na watoto likawa linajirusha na kitoto cha sekondari kidogo kuliko wanawe.

Tangu hapo nikajua hapa bogus. Kwa hiyo haya mengine nikiyasikia hata sishangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…