MWITA BUGONGO
Member
- Jun 5, 2014
- 19
- 8
Siku zote wadau wa elimu nimekuwa nawaambia kuwa shule yoyote inayokimbilia kuchuja wanafunzi kwa kisingizio cha uelewa mdogo wa wanafunzi wao wanawakosea adabu wazazi na wanafunzi hao . Hivi ni kweli kwamba mwalumu mzuri kazi yake ni kufundisha wanaojua tu ? na je shule za kata nani anawachuja na mbona wamemaliza vyuo vikuu sasa na wako kiwango sana ? Ndugu zangu wa shule za binafsi chujeni waalimu wenu msichuje watoto kumbuka mwenye afya hahitaji daktari bali aliye mgonjwa .Amkeni sasa .