Mustakabali wa vyama vya Siasa Tanzania

Mustakabali wa vyama vya Siasa Tanzania

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuwa na demokrasia ya kweli, maslahi ya ruzuku kwenye vyama vya upinzani vingejiweka pembeni na kuwa na chama kimoja au viwili vya upinzani vikibeba agenda au sera za kitaifa.

Kushindwa huku na kukimbiwa na watu mnaowakaribisha kunathibitisha political readiness, haipo na political maturity haipo ndani ya vyama vya upinzani.

CCM itaendelea kutawala tu huku mkibaki kuimba tume huru, katiba mpya, mikutano ya kisiasa wakati hamjui ni nini mmnataka.

I stand to be corrected [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom