Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Huo ni uongo. Kama mtu hayuko class yako mnapigaje ukiwa sindiria? Mbona hakupiga na watu wengine?
On allegations that Huddah cautioned Ogopas management against releasing a song in which Mustapha featured her, the Lenga Stress contends that in the first place Huddah cannot sing!
Huddah ajui kuimba, Huddah ajui ku-rap, reveals Mustapha adding, Huddah ana hasira nyingi sana. Hakueza kungoja sauti yake itengenezwe kulingana na beat.
Hizo vitu zote tulikua tumefanya. Tuli-date. But kulikua na kitu kama hio, adding, Na kama anataka kurudiana na Prezzo, labda Prezzo amembembeleza kuwa wanaweza rudiana, amwambie tu Prezzo ukweli kile kili-happen na Prezzo atamsamehea na watarudiana tu fresh.