Mustapha Co: Kama mimi sio class ya Huddah Monroe iweje alinivulia nguo?

Mustapha Co: Kama mimi sio class ya Huddah Monroe iweje alinivulia nguo?

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Huddah-Colonel-Mustafa.jpg
Speaking on Tuva’s show, Mambo Mseto, Mustapha started by saying that Huddah is lying and that they were in love until most recently when a photo of Mustapha snuggling a ‘fan’ surfaced online.

“Huo ni uongo. Kama mtu hayuko class yako mnapigaje ukiwa sindiria? Mbona hakupiga na watu wengine?”

On allegations that Huddah cautioned Ogopa’s management against releasing a song in which Mustapha featured her, the ‘Lenga Stress’ contends that in the first place Huddah cannot sing!

“Huddah ajui kuimba, Huddah ajui ku-rap,” reveals Mustapha adding, “Huddah ana hasira nyingi sana. Hakueza kungoja sauti yake itengenezwe kulingana na beat.”

“Hizo vitu zote tulikua tumefanya. Tuli-date. But kulikua na kitu kama hio,” adding, “Na kama anataka kurudiana na Prezzo, labda Prezzo amembembeleza kuwa wanaweza rudiana, amwambie tu Prezzo ukweli kile kili-happen na Prezzo atamsamehea na watarudiana tu fresh.”
 
Hiyo kahaba tu mbona na kuvua nguo kwake ni moja ya hobbie zake hata public toilet hiyo ukitaka huduma unapata
 
Colonel mustafa si ana demu wake yule mwanamuziki kazuriii??
huddah mvuta cocaine tu.
 
Colonel mustafa si ana demu wake yule mwanamuziki kazuriii??
huddah mvuta cocaine tu.

Marya walishaachana muda sana si ndo nikasikia alikuwa anatoka na bosi wa mawingu fm na mtangazaji wa mawingu fm wote aliwachanganya hali iliyo mpelekea mtangazaji wa mawingu ncha butu a.k.a baba Sayuni afukuzwe mjengoni kisa huyo Marya ila demu bado akawa anampenda sana Nchabutu na kumng'ang'ania.
 
Eee mambo ya boss ruge hayo ila baba sayuni mtamu jamani marya ana haki ya kumganda looo
 
Si alikuwa anataka kukupa miwaya tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hivi hua akipiga picha anaziuza anapata pesa au hua sielewii mimi???!!
 
Hivi hua akipiga picha anaziuza anapata pesa au hua sielewii mimi???!!

Siku hizi ngumu kuuza picha. Dakika moja tu ziko kwa mtandao watu wanadownload.

Ata wasanii wa bongo fleva wameacha kutoa album. Chezeya computer
 
Back
Top Bottom