Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kwani wakati vinaporwa hakuwepo? Je yeye hakuwa miongoni mwa wacheza ile ngoma wakati wamiliki wakiporwa haki zao? Wanafiki sasa wanajianika...Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali kufungua Viwanda ilivyofunga akisema wengine walionyang'anywa wana uwezo, na waliosababisha Viwanda vifungwe ni Serikali kushindwa kulinda Soko la Ndani
Amesema, "Nikuombe Waziri, dhambi hii ya kupora vitu vya watu isikuangukie mikononi mwako. Kama Serikali imeanza kufungua Akaunti, kaa na Katibu wako mfungue hivyo Viwanda. Wapeni muda mambo yaendelee"
Yaani inasikitisha...mie nakumbuka kile kiwanda cha kusindika nyama, kilichojengwa Shinyanga, kuwa karibu kabisa na ukanda wenye mifugo kilikuwa hata kabla ya kuanza.... nasikia sasa wamegeukia kuanzisha kipya cha wachina cha kuchinja punda.....haya bwana..na kazi iendelee.K
Kila ninapopita nje ya kiwanda cha tumbaku Morogoro na kiwanda cha Mazava Msamvu, huwa nabubujikwa na machozi. Ifike mahali nchi ipitishe sera ya kuwapima watia nia wetu kama "they are upstairs ok"
Wakulima wa malighafi wahamasishwe, waanze kulima tena, watu walishaacha kulima, ilionekana haina wateja wala faida.K
Kila ninapopita nje ya kiwanda cha tumbaku Morogoro na kiwanda cha Mazava Msamvu, huwa nabubujikwa na machozi. Ifike mahali nchi ipitishe sera ya kuwapima watia nia wetu kama "they are upstairs ok"
Kumbe nacho kilifungwa kwa hila, nikajua kilifungwa kwa ajili ya corona kama walivyosema wanasiasaKila ninapopita nje ya kiwanda cha tumbaku Morogoro na kiwanda cha Mazava Msamvu, huwa nabubujikwa na machozi.
Naunga mkono hoja ya Msukuma lakini wakati huohuo nahoji credibility ya bunge letu.Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali kufungua Viwanda ilivyofunga akisema wengine walionyang'anywa wana uwezo, na waliosababisha Viwanda vifungwe ni Serikali kushindwa kulinda Soko la Ndani
Amesema, "Nikuombe Waziri, dhambi hii ya kupora vitu vya watu isikuangukie mikononi mwako. Kama Serikali imeanza kufungua Akaunti, kaa na Katibu wako mfungue hivyo Viwanda. Wapeni muda mambo yaendelee"
Mkuu kwa Bunge gani? Hili la lililoingia kwa kimbunga cha Tsunami? Lenye wabunge ambao hawana chama, wabunge wa kuteiliwa na Spika wa Bunge. UTAJICHELEWESHANaunga mkono hoja ya Msukuma lakini wakati huohuo nahoji credibility ya bunge letu.
-Je, hawakujua wakati wote kuwa viwanda hivyo vilifungwa kwa uonevu?
- Ili wabunge waongee ukweli unaowaumiza wananchi ni mpaka raisi aondoke madarakani au afariki wakati tunaaminishwa kuwa bunge ni chombo huru?
Hapo sasa.Mkuu kwa Bunge gani? Hili la lililoingia kwa kimbunga cha Tsunami? Lenye wabunge ambao hawana chama, wabunge wa kuteiliwa na Spika wa Bunge. UTAJICHELEWESHA
Ahsante MkuuHapo sasa.
Siyo unafiki bwashee ni njaa kila mtu anaangalia tumbo lake na familia yake.hata ningekuwa mm ningechumia tumboniHii Nchi ina watu wanaushetani wa unafiki.