Musukuma aomba Mwongozo wa Spika kuhusu sehemu za starehe kufungiwa na NEMC kwa kigezo cha kelele

Ninachokumbuka mimi, (wahenga wenzangu watanisaidia),huyu MSUKUMA alishawahi tolewa/vuliwa nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Geita ,kipindi hicho Geita ikiwa WILAYA ndani ya MKOA wa Mwanza

Kikao hicho, chini ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Marehemu Abbas Kandoro,kilimtoa kwenye nafasi hiyo kwa TUHUMA kwamba ana changamoto ya AFYA ya AKILI..

La kujiuliza,je mheshimiwa aliSHAPONA?
 
Bangi sana
 
Dr Msukuma ni mbunge makini Sana
 
Ukikaa ukawaza mlipa kodi mkubwa ni nani,na ukikaa ukafikiri wanawake wengi wameajiriwa kwenye sekta ipi utamwelewa msukuma.
Wewe ukiwa unatom..bana na demu wako,mnatoa milio au mnapiga kelele hadi mtaa mzima wanasikia??Starehe ya mmoja isiwakwaze wengine
 
Sheria zipo sawa.Lakini utekelezaji wake ulitakiwa kutumia busara zaidi.Mimi najiuliza hivi isingewezekana kunyang'anya vyombo vya muziki pekee halafu wakaacha baa ziendelee.Nikipiga hesabu za haraka harakawa wafanyakazi walioajiriwa kwenye baa ya Kitambaa cheupe,kwa mfano, inakuja siyo chini ya watu 40.Hao ni walioajiriwa moja kwa moja.Lakini kuna wale wenye majiko ya vyakaula nk.
 
Hivi huyu mtu kweli anatumia akili kufikiri au anatumia kiungo kingine? Hivi hizi kelele tunazopigiwa na waislamu tangu alfajiri hadi usiku yeye hazisikii au ameamua kuziba masikio kwa makusudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…