Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Siamini anatetea keleleMusukuma .........doh!
Naona hajatembea nje huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini anatetea keleleMusukuma .........doh!
Bangi sanaNinachokumbuka mimi, (wahenga wenzangu watanisaidia),huyu MSUKUMA alishawahi tolewa/vuliwa nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Geita ,kipindi hicho Geita ikiwa WILAYA ndani ya MKOA wa Mwanza
Kikao hicho, chini ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Marehemu Abbas Kandoro,kilimtoa kwenye nafasi hiyo kwa TUHUMA kwamba ana changamoto ya AFYA ya AKILI..
La kujiuliza,je mheshimiwa aliSHAPONA?
Dr Msukuma ni mbunge makini SanaNinachokumbuka mimi, (wahenga wenzangu watanisaidia),huyu MSUKUMA alishawahi tolewa/vuliwa nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Geita ,kipindi hicho Geita ikiwa WILAYA ndani ya MKOA wa Mwanza
Kikao hicho, chini ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Marehemu Abbas Kandoro,kilimtoa kwenye nafasi hiyo kwa TUHUMA kwamba ana changamoto ya AFYA ya AKILI..
La kujiuliza,je mheshimiwa aliSHAPONA?
Wewe ukiwa unatom..bana na demu wako,mnatoa milio au mnapiga kelele hadi mtaa mzima wanasikia??Starehe ya mmoja isiwakwaze wengineUkikaa ukawaza mlipa kodi mkubwa ni nani,na ukikaa ukafikiri wanawake wengi wameajiriwa kwenye sekta ipi utamwelewa msukuma.
Wewe ukiwa unatom..bana na demu wako,mnatoa milio au mnapiga kelele hadi mtaa mzima wanasikia??Starehe ya mmoja isiwakwaze wengines
Sawa FrankWewe ukiwa unatom..bana na demu wako,mnatoa milio au mnapiga kelele hadi mtaa mzima wanasikia??Starehe ya mmoja isiwakwaze wengine
Sawa Frank
[/QUOTE😂😂😂 apo nadhan utakuwa umeelewa ......
Bangi imemuwehushaMsukuma kumbe hana akili kweli.
Hivi huyu mtu kweli anatumia akili kufikiri au anatumia kiungo kingine? Hivi hizi kelele tunazopigiwa na waislamu tangu alfajiri hadi usiku yeye hazisikii au ameamua kuziba masikio kwa makusudi?Hivi huyu jamaa ana atumia nini kufikiri, hajui hizo sheria zilifungwa na bunge hilo hilo.
Hajui watu walichoka na muziki mikubwa na kuwa kero kwa watu.
Leo bunge lisitishe shugli zake ili waruhusu mikilele yao ,yaani watumie pesa za serikali kuruhusu Kelele mitaani.
USSR
=================
"Nimekuwa nikimsikiliza sana Jesca akizungumzia afya ya akili. Na Watanzania tuna utaratibu wa kufanya kazi ikifika weekend tunapata burudani. Lakini mheshimiwa Spika tunavyoendelea hivi sasa kuna taharuki kubwa sana kwenye sehemu zetu za burudani weekend – ukianzia Mwanza, Dar es Salaam; club zoote ambazo watu wanaenda ku-refresh akili zao hata hapa Dodoma zimefungwa. Sasa, tunataka utupe mwongozo wako Mh. Spika na ninafikiri pia linaendana na Kariakoo ambalo limekaliwa na Mkuu wa Mkoa.
Lakini hili la sehemu za starehe ambazo zimefungwa kwa kigezo cha kuzidisha kelele, kitu ambacho si sahiihi, nipate mwongozo wako Mh. Spika maana nao ni wafanyabiashara na wanaingiza mapato makubwa sana kwenye serikali."- Musukuma