Sijamuelewa magari yasiingie kariakoo ana maanisha watu waje kwa kutumia miguu toka wanapoishigani tukisema magari yasiingie Kariakoo il
Akili za kimwendazake hizi, very primitive creaturesAmos Makalla ameshindwa kuwatoa machangudoa alafu eti anataka apambane na machinga wanaojipatia kipato halali na kodi wanalipa!!!
Ngoja tumuone mwisho wake
Wangeendelea tu kukaa kambi za kusafisha barabara na reli. Biashara inataka mpangilio si ya kuweka kila mahali inaonyesha jinsi tulivyo na wabunge wa ovyo. Aeleweshwe juu ya mipango mijiBUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa.
Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu wafanye kwa uhuru wasibugudhiwe"
yani magari yasifike then watu wapate fursa mkuu, yani watu wanaanza kupata tena pesa kupitia hiloSijamuelewa magari yasiingie kariakoo ana maanisha watu waje kwa kutumia miguu toka wanapoishi
Duh magari yasifike ya abiria au binafsiyani magari yasifike then watu wapate fursa mkuu, yani watu wanaanza kupata tena pesa kupitia hilo