Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNamdharau Elitwege. Ukipewa kibaya cha kuanza nacho, utawaona machinga ni tatizo kuliko changudoa? be frank!Akili za kimwendazake hizi, very primitive creatures
Kwani shida ni nini? Kama ni uchafu wa watu, mbona hadi Ikulu inakaliwa na watu wachafu na wezi?Wachafua taswira ya majiji yetu Hawa fukuza kabisa wapelekwe maeneo sahihi
Zote mbaya! Machinga watafutiwe utaratibu, siyo kukaa kila mahali hadi barabarani, njia za waenda kwa miguu na mbele ya maduka ya watu ambao ndiyo walipa kodi wakubwa. Machangudoa hawezi kuwaondoa, ni oldest biashara duniani, hata Maria Magdalena (Mtu wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka) alikuwa changudoa, Nchi zilizoendelea wamewatengenezea utaratibu pia, ni legal business, na wana msaada wao mkubwa. Huko kwetu ukisema ulegalise uchangudoa utashambuliwa kila kona (kwa unafiki wetu), cha kushangaza wengine watakaokushambulia ni wateja wakubwa wa hiyo kitu.UNamdharau Elitwege. Ukipewa kibaya cha kuanza nacho, utawaona machinga ni tatizo kuliko changudoa? be frank!