Zote mbaya! Machinga watafutiwe utaratibu, siyo kukaa kila mahali hadi barabarani, njia za waenda kwa miguu na mbele ya maduka ya watu ambao ndiyo walipa kodi wakubwa. Machangudoa hawezi kuwaondoa, ni oldest biashara duniani, hata Maria Magdalena (Mtu wa kwanza kumuona Yesu baada ya kufufuka) alikuwa changudoa, Nchi zilizoendelea wamewatengenezea utaratibu pia, ni legal business, na wana msaada wao mkubwa. Huko kwetu ukisema ulegalise uchangudoa utashambuliwa kila kona (kwa unafiki wetu), cha kushangaza wengine watakaokushambulia ni wateja wakubwa wa hiyo kitu.