Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amesema kwa niaba ya Wabunge wa CCM, hawana hofu na vyama vya upinzani na kwamba wako tayari kukutana nao majukwaani endapo uchaguzi mkuu utafanyika.
Akizungumza leo Aprili 16, 2025, Bungeni jijini Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya TAMISEMI, Musukuma amewataka viongozi wanaohusika kuwaruhusu hata kwa mlango wa nyuma wale wanaosema “No reform, no election” ili tu uchaguzi ufanyike na wakutane nao majukwaani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Spika, nataka kuwaambia kwa niaba ya sisi Wabunge tunaotokana na Chama cha Mapinduzi, sisi sera yetu ni tunasonga mbele, Hawa wanaosema no reform, no election mimi nashauri kama kuna namna yoyote hata ya kuwapitisha mlango wa nyuma waruhusuni wasaini, tukutane nao hawana cha kutuambia, kama walitafuta mlango wa kutokea kwa kutokwenda kusaini, wapeni hata kwa ziada ili tukutane nao majukwaani"