Musukuma: Kabudi leo nakuzingua, uje na majibu mgogoro wa dabi ya Simba na Yanga

Musukuma: Kabudi leo nakuzingua, uje na majibu mgogoro wa dabi ya Simba na Yanga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili uyajue nitashika shilingi...," - Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma.

 
Umeongea point lkn kwa njia isiyokua sahihi kwa sababu migogora ya michezo ina mifumo yake ya utatuzi wa migogoro kwa hiyo nitashangaa kama waziri atalitolea majibu.
 
japo si ruksa serikali kuingilia michezo ila kwa mlango wa pembeni walifaa kuingilia na kuwaondoa TFF na bodi ya ligi
 
Watake wasitake watacheza....la sivyo wanashushwa madaraja
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Watake wasitake watacheza....la sivyo wanashushwa madaraja
Kuwashusha daraja ni kuharibu ligi mkuu, na Yanga yupo tayari kwa lolote na hata kuhama nchi

Kwa jicho la mbali, Hizi timu mbili siyo tu timu bali pia zinauhusiano mkubwa na siasa, zinauhusiano na uchumi wa nchi

Jambo hili lisiamliwe kishabiki

Kwa maoni yangu, TFF ifumuliwe na kuundwa upya
 
"...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili uyajue nitashika shilingi...," - Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma.

View attachment 3326850
ACHA UONGO WW MUSUKUMA SIMBA NA YANGA SI KILA MTU ANAZITAKA
 
Hii Dunia inachekesha😂😂😂 watu wakiimba no reform wenyewe wanawaona wendawazimu, kumbe faida za no reform wanazijua📌📌📌🙆
 
Back
Top Bottom