Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Clown Ni Nini kwa kiswahili tusiojua ki inglishi?When a clown goes to the palace he doesn't become king, the palace becomes a circus.
Kuwashusha daraja ni kuharibu ligi mkuu, na Yanga yupo tayari kwa lolote na hata kuhama nchiWatake wasitake watacheza....la sivyo wanashushwa madaraja
ACHA UONGO WW MUSUKUMA SIMBA NA YANGA SI KILA MTU ANAZITAKA"...Mheshimiwa Mwenyekiti namuuliza kaka yangu Kabudi mheshimiwa waziri, na nilikuona kutokana na mgogoro uliopo kwenye timu zetu hizi kubwa mbili nilikuona ulitoka saa nne usiku kwenye kikao lakini baada ya kutoka mle shaaa, mpaka leo hatujajua kilichotokea kule, natanguliza maneno haya ili uyajue nitashika shilingi...," - Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma.
View attachment 3326850
Pisi KaliClown Ni Nini kwa kiswahili tusiojua ki inglishi?