Pre GE2025 Musukuma: Milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo Geita Vijijini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

Dkt. Musukuma ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo makatibu wa jumuiya zote tatu za chama, pamoja na makatibu wa mashina na kata ndani ya jimbo lake.

Hapo anapiga kampeni ili aungwe mkono yeye peke yake. Asiogope upinzani
 
Taarifa zilizopo, kwenye huo mkutano aliamuru kukamatwa kwa Mpishi aliyempa tender ya kupika chakula cha hao wajumbe. Mpishi pamoja na chakula chake alipelekwa kituo cha Polisi Nzera na alikaa pale mpaka jioni. Jioni wananchi walianza kukusanyika pale kituoni mpaka ikapelekea Mpishi pamoja na chakula chake kupelekwa Polisi Geita. Alilala ndani pamoja na chakula chake na jana alipata dhamana.

Chanzo inasemekana ni Mpishi kukataa mapendekezo ya Msukuma kuhusu chakula, hali iliyopelekea na yeye Msukuma kukikataa.
Cha ajabu mpaka sasa Msukuma hajaenda Polisi kutoa maelezo.
 
Mbunge ana mamlaka gani ya kuamuru mwananchi akamatwe??
 
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

Dkt. Musukuma ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo makatibu wa jumuiya zote tatu za chama, pamoja na makatibu wa mashina na kata ndani ya jimbo lake.

Anapima upepo ili aone watia nia halafu awaloge.
Possibly.

Siasa za Tanzania kuna Ndumba na Ushirikina Sana.
 
Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Kuelekea 2025 - Orodha ya CV za Wabunge kwa mwaka 2020 - 2025 kutoka kila mkoa Tanzania

Dkt. Musukuma ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo makatibu wa jumuiya zote tatu za chama, pamoja na makatibu wa mashina na kata ndani ya jimbo lake.

Unadaiwa mnooool!!!😳😳
 
Attachments

  • 20250210_112920.jpg
    20250210_112920.jpg
    586.9 KB · Views: 3
Mbinu za kijinga anatumia anataka afanye kitu fulani cha kum block mpinzania wake spiritual .

Mtu makini asitangaze nia amfukuze mwizi kimya kimya.
 
Back
Top Bottom