Mbunge wa Jimbo la Geita Dkt. Joseph Kasheku Musukuma, amesema kuwa milango iko wazi kwa yeyote mwenye nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Dkt. Musukuma ameyasema hayo alipokutana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo makatibu wa jumuiya zote tatu za chama, pamoja na makatibu wa mashina na kata ndani ya jimbo lake.
Taarifa zilizopo, kwenye huo mkutano aliamuru kukamatwa kwa Mpishi aliyempa tender ya kupika chakula cha hao wajumbe. Mpishi pamoja na chakula chake alipelekwa kituo cha Polisi Nzera na alikaa pale mpaka jioni. Jioni wananchi walianza kukusanyika pale kituoni mpaka ikapelekea Mpishi pamoja na chakula chake kupelekwa Polisi Geita. Alilala ndani pamoja na chakula chake na jana alipata dhamana.
Chanzo inasemekana ni Mpishi kukataa mapendekezo ya Msukuma kuhusu chakula, hali iliyopelekea na yeye Msukuma kukikataa.
Cha ajabu mpaka sasa Msukuma hajaenda Polisi kutoa maelezo.