Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Nyie ni vilema na omba omba
Jingaman kafa mkamchimbia chato yani hata hajapokelewa vizuri jehanam na shetani mmeshamgeuka huku duniani, mmetoboa siri zake za ugonjwa wake wa akili, mmesema covid ipo, wale waliokuwa wanakula maparachichi na mananasi yaliyooza (Waziri Gwajima) sahivi wanavaa barakoa, mmeitelekeza chato yake, mmewatoa magerezani wapinzani wake, mmeanza kuwafunga majambazi wenzake kina sabaya, ccm mna roho mbaya nyie, nimeamini ushirika wa wachawi haudumu, wezi hawaheshimiani
 
Anachofanya msukumu ni utotoni wa hali ya juu,kuwa na file milembe siyo tatizo Bali tatizo kubwa ni kurudia matendo uliyafanya kabla hujapelekwa milembe.Diallo yupo sahihi,mwenyekwenda mwenyewe alikili akiwa hai kuwa naneno ya Diallo ni kweli .
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.

Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.

Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.

Sijaja kwenye hii dunia kusaidia yeyote na wala sijaja kusaidiwa na yeyote wewe maiti!

Jamii ijitegemee,kila mtu ale anavyojua yeye

Ni upumbavu kukaa hapa kuniuliza maisha binafsi ya watu wasionihusu,najihusu mwenyewe,mimi mwenyewe nipo resposible kuhakikisha napumua na ku-survive,sio jukumu la maiti yeyote duniani kuacha mimi mwenyewe!

Jamii ni wasenge kama walivyo wasenge wengine wowote maana kila mtu kaja hapa duniani ku-survive kwa nguvu zake mwenyewe

Hiki unachoonesha hapa ni dalili mojawapo mbaya sana ya idea mbovu za Magufulism,yaani unaamini maisha yako ni belonged to decisions made from other human beings na sio wewe pekee yako kwa juhudi zako mwenyewe!

Such a group of very ow IQ'ed motherfvckers....lini mtakua na akili za kuwasaidia ku-survive nyie watu?
Una nini wewe Una nini wewe !! cha kujivunia mpaka ujione una IQ kubwa!!

Kumiliki Tecno pop 1, na kuwa mteja mzuri wa KY na Pampars hapo kwa Mangi mtaani kwenu unajiona umemaliza!!
 
Sijaja kwenye hii dunia kusaidia yeyote na wala sijaja kusaidiwa na yeyote wewe maiti!

Jamii ijitegemee,kila mtu ale anavyojua yeye

Ni upumbavu kukaa hapa kuniuliza maisha binafsi ya watu wasionihusu,najihusu mwenyewe,mimi mwenyewe nipo resposible kuhakikisha napumua na ku-survive,sio jukumu la maiti yeyote duniani kuacha mimi mwenyewe!

Jamii ni wasenge kama walivyo wasenge wengine wowote maana kila mtu kaja hapa duniani ku-survive kwa nguvu zake mwenyewe

Hiki unachoonesha hapa ni dalili mojawapo mbaya sana ya idea mbovu za Magufulism,yaani unaamini maisha yako ni belonged to decisions made from other human beings na sio wewe pekee yako kwa juhudi zako mwenyewe!

Such a group of very ow IQ'ed motherfvckers....lini mtakua na akili za kuwasaidia ku-survive nyie watu?
Wewe dunia umekuja au umeletwa tu tena mama yako hata uchungu hakusikia, kabanwa mkojo kuchuchumaa chooni unatoa wewe!!
 
I evaluate myself,I dont wait for your opinion on myself!

Na wewe jiite una IQ kubwa,its you,dont hate on me,hate yourself kwa kuamini una IQ ndogo!

Nina nini?Kama kipi unataka niwe nacho?

Nina vitu navyotaka mimi wala sio vitu unavyotaka wewe....My material wealth is according to my own decisions and my own rational thinking

Siwezi tumia your thinking to determine which material wealth works for me!

Sijawahi tumia Tecno au simu yeyote kama haijatoka America.....

Mteja mzuri wa Mangi wakati Mangi mwenyewe ndio mimi mwenyewe!

Look at you,nigga u still sleeping!
America ushuzi!!
 
China ndio ushuzi....

America >>>>>>> China

Damn,Tanzania is better than all of them...where is our phone?

Make one we will buy that shit!
Utanunua vp wakati bwana zako ndo wakifurahia huduma wanakununulia kwa sasa pambana tu na vya China.
 
Nimependa hapo kuanzia dakika ya 16:52 "KAMA ANGEKUWA MWANAUME ASINGEFUNGUA MDOMO KAJAMAA KAKIWEPO" kweli aseee mtu unapambana na marehemu unategemea nani atakuwa mshindi kama si wewe uliye HAI!.
 
Msukuma, hana adabu.
Hivi haoni aibu kumtetea jiwe?
Hivi hajui kuwa jiwe alikuwa na faili Milembe?
 
Hivi Msukuma mbona ana wivu sana kwa Marehemu? Hataki aguswe kabisa
 
Ati hayo ndio madaraka ya rais ambayo 'wenye shibe' hawataki yaguswe wakidhani nafasi a teuzi zitaingiliwa.
Yaani mtu anateua ndugu mpaka wanaisha, anateua marafiki wanaisha (wengine wanasemaga mahawala), makada wanaisha mpaka wake wa marafiki wanapewa ukurugenzi. Watu wa kawaida wakidai walau vidaraja vya miti wanaambiwa 'wasubiri' na mwishowe wanaongezewa kodi hadi kwenye miamala kana kwamba kutuma au kpokea pesa kununulia unga ni anasa,

Ukitaka kujua upumbavu wetu ebu angalia utaratibu unaotumika kupata kazi kwemye mashirika ya kimataifa na ulinganishe na utaratibu wetu pia uangalie packages za watu hawa wawili. Yaani unakuta aliyezawadiwa cheo ana gari kubwa V8, mshahara mkubwa, ofisi kubwa na viyoyozi, kwa kutaja tu vichache. Alafu tunabaki kusingizia kuwa eti sisi ni Waafrika, yaani hata vitatizo vidogo vinatushinda na bado tunashangilia na kutukuza
 
Back
Top Bottom