Wasukuma walio wengi wanaonekana kama wana shida kichwani. Huyu Mbunge ana hoja nzito sana. Unajua watu ambao umaarufu wao ni "Mwanamalundi", mchawi aliyekuwa anakausha watu, wanyama na miti kwa vidole, wakati ukiangalia makabila mengine karibia yote yalikuwa na watu maarufu kwa ajili ya kujenga umoja wao kwa mfano:
Wahehe--- Mtemi Mkwawa
Wanyamwezi----- Mtemi Mirambo
Wahaya------ Mtemi Rumanyika
Tanga------ Mtemi Kimweri
Wachagga----- Mtemi Mangi,
Wakurya----- hawa hawakuwa na haja ya kuwa na mtemi kwa sababu kila mtu ni mtemi na umoja kwao ndiyo asili yao, mtoto wa kikurya anazaliwa na asili ya umoja kutoka tumboni mwa mama yake!
n.k.
Kwa hiyo wakati makabila haya yote yakiwa na watu hawa maarufuwaliokuwa wamejikita kwa ajili ya kujenga jamii zao na umoja wao, wasukumma wao walikuwa na Mwanamalundi. Na hapa ndipo tatizo linapoanzia.
Hawa watu hawakufundishwa maadili ya kuwa na asili ya umoja from the start, kwa hiyo umoja wao siyo asili yao kabisa na ndiyo maana ni kabila kubwa lakini maskini sana! Ukitaka umumalize msukuma kirahisi zaidi, mtafutie msukuma mwenzake. usimtafutie mhaya au mchagga, hao huwa wanwasingizia; mtafutie msukuma mwenzake, basi. Hata ukimpata wa kuzaliwa , toka nitoke, tumbo moja hapo ndiyo basi unakuwa umefika kabisa, huna shida kama mtu mwenye hela
Utafiti wa BBC kuhusiana na mauaji ya Albino yaliyowahi kufanyika hapa nchini, ulibaini kuwa mauaji hayo yalikuwa ya kwanza mabaya na makubwa kabisa kuwahi kutokea duniani yaliyohusisha imani za kishirikiana. Hii maana yake ni nini? Ni kwamba kwenye mauaji ya Albino, Wasukuma walishika rekodi ya kwanza duniani kwa uchawi na kuwa wajinga na watu wa ajabu duniani nzima. Kwa hiyo kuna possibility kwamba msukuma anaweza akawa ni mtu wa kwanza kwa uchawi duniani. Mji usioonekana unasemekana uko Gamboshi unaosemekana ndiyo mji mkuu wa wachawi Duniani, na si mji mkuu wa wachawi Tanzania, hapana.
Inasemekana pia kuwa madhabahu kubwa kabisa za kichawi duniani, mojawapo ipo baharini kwenye ile inayoitwa Bermuda Triangle, na ile ya nchi kavu iko usukumani, Gamboshi. Wasukuma wenzangu kwa kweli huwa wananiangusha sana, hilo siwezi kuficha kabisa!