Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Kuna ndege usukumani wapo huwa wanatengeneza vita vyao kwenye majaruba ya mpunga, ila wakati majaruba yakiwa yana maji ya kutosha. Wanatengeneza viota vyao juu ya maji, na wakishataga mayai, wanatotolesha vifatanga vyao kwenye kiota juu ya maji. Muda ule tu vifaranga vinapokuwa vimetotoleshwa, yaani kifaranga kikishatoka tu kwenye ganda la yai, muda huo huo kinaingia majini na kuanza kuogelea, bila hata kufundishwa. Hivi vifaranga vimefanana na wakurya. Mkurya huwa hahitaji kufundishwa discipline ya umoja kwa sababu hiyo ni asili yake, huwa anazaliwa akiwa tayari na discipline hiyo bila kufundishwa. Mtu huwa hafundishwi asili yake, huwa anazaliwa nayo
Amang'ana gasalikile [emoji1787]
 
Daraja refu kuliko yote Africa ni 6th of October Bridge la Cairo Misri. Lina urefu wa km 20.5.

Kagongo linakuwaje daraja refu kuliko yote Africa hapo?
Huna akili
 
Daraja refu kuliko yote Africa ni 6th of October Bridge la Cairo Misri. Lina urefu wa km 20.5.

Kigongo Busisi linakuwaje daraja refu kuliko yote Africa hapo?
Ni refu kuliko yote Afrika Mashariki na Kati
 
Ni refu kuliko yote Afrika Mashariki na Kati
Mtoa mada kaandika Africa. Si Africa Mashariki na Kati. Arekebishe basi.

Kuna watu watasoma hapa na kukariri kwamba hili ni daraja refu kuliko yote Africa.
 
Mtoa mada kaandika Africa. Si Africa Mashariki na Kati. Arekebishe basi.

Kuna watu watasoma hapa na kukariri kwamba hili ni daraja refu kuliko yote Africa.
Acha tu na sisi tuwe tunachukua hizo cedits kutoka kwa watu ambao hawako enquisitive.
 
Mtoa mada kaandika Africa. Si Africa Mashariki na Kati. Arekebishe basi.

Kuna watu watasoma hapa na kukariri kwamba hili ni daraja refu kuliko yote Africa.
Acha kupotosha
 
Acha kupotosha
Nimepotosha nini?

Wewe ulichofanya hata kwenye kupotosha hakijafika.

Kwa sababu hujaandika hata nilichopotosha ni kipi.

Unabisha kuhusu daraja refu kabisa Africa? Au unasema nimepotosha nini?
 
Yani daraja la Kagongo-Busisi ndo refu kuliko yote Afrika?!! Maaweeee...!!
 
Back
Top Bottom