Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mbunge Geita, Joseph Musukuma amelilalamikia Jeshi Usu kupiga watu na kufanya ubakaji. Musukuma amesema kuna makosa yamefanyika katika kulitengeneza Jeshi Usu.
Musukuma pia ameongelea Maliasili kukamata ng'ombe za wafugaji akidai anashangazwa baada ya minada kufanyika wahusika nao wanaanza ufugaji akiwatuhumu kuzinunua wenyewe kiujanja ujanja. Msukuma amesema hizo ni laana na wahusika watakufa vibaya.