Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea ugumu wa maisha kwa wananchi.
Msukuma anadaiwa kuendesha makundi makubwa ya wavuvi haramu na kuwahakikishia kuwa hawatakamatwa kwa kuwahadaa kuwa Rais Samia amekataza wananchi wasikamatwe waachwe wavue wanavyotaka kama sehemu yake ya kufungua nchi na kukuza biashara.
Msukuma anatuhumiwa kutumia jina la Rais vibaya kwa kushirikiana na Waziri Mashimba Ndaki ambaye jana Rais Samia ametangaza kukosa imani nae kutokana na usimamizi mbovu wa wizara yake.
Mashimba naye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kuhusiana na kushamiri kwa uvuvi haramu Ziwa Victoria na hadi Gazeti la Raia Mwema liliwahi kuripoti juu ya Hatari ya kwisha kabisa kwa samaki katika Ziwa Victoria lakini Waziri huyo anadaiwa kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote kwa kuwa Rais amekataa wananchi wasionewe.
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Ditopile akichangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2022/2023 Bungeni alieleza bayana hali ni mbaya ya kukosekana kwa samaki Ziwa Victoria na kutishia viwanda kufungwa lakini Waziri hakusikiliza ushauri huo na kuendelea kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote.
Mashimba na Msukuma wamemaliza samaki wa ziwa Victoria!!! Hao ni wawili yaani wangekuwa kumi wangemaliza samaki wa bahari ya Hindi!!!! Siasa ngumu sana
Mashimba na msukuma wamemaliza samaki wa ziwa Victoria!!! Hao ni wawili yaani wangekuwa kumi wangemaliza samaki wa bahari ya Hindi!!!! Siasa ngumu sana
Wanafadhili vip?Ukiambiwa ulete ushahidi utakuwa nao? Au ni chuki tu unazo kwa hawa watu,msukuma na mashimba ni moja ya watu waadilifu nchi hii,acha kuwapaka matope.
Nchi hii watu wema ndio wanaopakaziwa mambo ya kuzusha,ndio maana tunakwama.
CCM ni uchawi, udokozi, fitina, majungu na choyo. CCM ni mithili ya fisi anaevizia mkono uanguke aule. Hapo ukute umetumwa na mtu anaeamini akitolewa huyo Ndaki ataukwaa uwaziri.
Ni aibu na fedheha kuwa na jamii hii ya watu. Hovyo sana.

Wanafadhili vip?Ukiambiwa ulete ushahidi utakuwa nao?au ni chuki tu unazo kwa hawa watu,msukuma na mashimba ni moja ya watu waadilifu nchi hii,acha kuwapaka matope
Nchi hii watu wema ndio wanaopakaziwa mambo ya kuzusha,ndio maana tunakwama.
Ina maana kama ni kweli anaendesha migodi bila leseni,wewe ndio wa kwanza umeona hayo maovu yake yote anayofanya, wakati nchi ina usalama hii hao wote hawajaona?
waziri wa madini yupo hajaona wewe ndio umeona?kuna taasisi ya madini wao hawajaona hayo ya msukuma?au humpendi tu jamaa wa watu 😆😆
Mtamkubuka tu Jiwe. Enzi zake hadi samaki waliopikwa kwenye Canteen ya Bunge walikuwa wanapimwa kwa rula kuthibitisha uhalali wake wa kuvuliwa. Samaki walikuwa wameongezeka kweli kipindi chake. Sisi tunaoishi kando ya Ziwa Viktoria ni mashahidi. Leo wameanza kulialia!
Mashimba na msukuma wamemaliza samaki wa ziwa Victoria!!! Hao ni wawili yaani wangekuwa kumi wangemaliza samaki wa bahari ya Hindi!!!! Siasa ngumu sana
Mashimba na msukuma wamemaliza samaki wa ziwa Victoria!!! Hao ni wawili yaani wangekuwa kumi wangemaliza samaki wa bahari ya Hindi!!!! Siasa ngumu sana
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea ugumu wa maisha kwa wananchi.
Msukuma anadaiwa kuendesha makundi makubwa ya wavuvi haramu na kuwahakikishia kuwa hawatakamatwa kwa kuwahadaa kuwa Rais Samia amekataza wananchi wasikamatwe waachwe wavue wanavyotaka kama sehemu yake ya kufungua nchi na kukuza biashara.
Msukuma anatuhumiwa kutumia jina la Rais vibaya kwa kushirikiana na Waziri Mashimba Ndaki ambaye jana Rais Samia ametangaza kukosa imani nae kutokana na usimamizi mbovu wa wizara yake.
Mashimba naye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kuhusiana na kushamiri kwa uvuvi haramu Ziwa Victoria na hadi Gazeti la Raia Mwema liliwahi kuripoti juu ya Hatari ya kwisha kabisa kwa samaki katika Ziwa Victoria lakini Waziri huyo anadaiwa kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote kwa kuwa Rais amekataa wananchi wasionewe.
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Ditopile akichangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2022/2023 Bungeni alieleza bayana hali ni mbaya ya kukosekana kwa samaki Ziwa Victoria na kutishia viwanda kufungwa lakini Waziri hakusikiliza ushauri huo na kuendelea kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote.
Leo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo Mifugo na Maji imethibitisha samaki wameisha Ziwa Victoria kwa sababu ya usimamizi hafifu wa Waziri Mashimba Ndaki
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea ugumu wa maisha kwa wananchi.
Msukuma anadaiwa kuendesha makundi makubwa ya wavuvi haramu na kuwahakikishia kuwa hawatakamatwa kwa kuwahadaa kuwa Rais Samia amekataza wananchi wasikamatwe waachwe wavue wanavyotaka kama sehemu yake ya kufungua nchi na kukuza biashara.
Msukuma anatuhumiwa kutumia jina la Rais vibaya kwa kushirikiana na Waziri Mashimba Ndaki ambaye jana Rais Samia ametangaza kukosa imani nae kutokana na usimamizi mbovu wa wizara yake.
Mashimba naye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kuhusiana na kushamiri kwa uvuvi haramu Ziwa Victoria na hadi Gazeti la Raia Mwema liliwahi kuripoti juu ya Hatari ya kwisha kabisa kwa samaki katika Ziwa Victoria lakini Waziri huyo anadaiwa kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote kwa kuwa Rais amekataa wananchi wasionewe.
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Ditopile akichangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2022/2023 Bungeni alieleza bayana hali ni mbaya ya kukosekana kwa samaki Ziwa Victoria na kutishia viwanda kufungwa lakini Waziri hakusikiliza ushauri huo na kuendelea kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote.
Mashimba amefeli kusimamia wizara ya mifugo hamsaidii mama kweli miaka hiyo ya 2020 tulikuwa tunaona ndege zinapeleka minofu ya samaki ulaya kwa sababu samaki walikuwa wa kutosha yeye akaondoa usimamizi matokeo yake jana Kamati ya Bunge inasema samaki wameisha kwa uvuvi haramu