PreGE2025 Musukuma: Nashangaa mliwarudisha wale Wakenya mngewapeleka kulima kabisa

PreGE2025 Musukuma: Nashangaa mliwarudisha wale Wakenya mngewapeleka kulima kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mchango wa mihemuko wala sio wa hoja. Hii yote ni uchawalism ukizidi, hapo anapigiwa makofi kwa mchango upi?
 
Hawa ndiyo Risk ya nchi. Hawajui International Relation, hawajui Diplomacy; ukichanganya na akili kama ya Chura Kiziwi unaanza kusema Nchi mlizotoka hazina amani. Hiyo yote ndiyo inaleta matatizo. Education. Angewashika, hata angewashitaki Mahakamani kwa sheria, Baadaye unawarudisha kwao. Unaanza unatukana Nchi mtu anayotoka, yaani unatukana Kenya nzima, halafu unamtesa huyo mtu unaenda kumtupa mpakani!!! Duuuuuuuu, dunia ya lini hii? Tujitafakari
 
Back
Top Bottom