Musukuma: Sisi huku Geita tunawatibu Wazanzibari hatuwabagui

Musukuma: Sisi huku Geita tunawatibu Wazanzibari hatuwabagui

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi.

Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua

Sisi hatujui Mzanzibari tunajua ndugu yetu Mtanzania tu, leo hii ukija Geita robo tatu ya wachimbaji madini ni Wazanzibari, tunawatibu tunawalisha Sangala na wanakula Sato. Sisi tunatamani kama tumepeleka sato zikaboreshwe kule tutibiwe. Ameeleza Musukuma.
 
Back
Top Bottom