Musukuma unajisikiaje uliowachongea kuendelea kupeta kwenye teuzi?

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,198
Reaction score
2,562
Miezi kadhaa nyuma Mbunge Musukuma uliibua ununuzi wa gari VXR-V8 Geita, ukaibua ujenzi wa bustani (eneo la kupumzikia), ukaponda ukaongea sana, ukawachongea mkuu wa mkoa Luhumbi na mkurugenzi Geita mji.

Nimeusoma mkeka Mkurugenzi uliemchongea yupo Ilemela, Luhumbi ndio mkuu wa mkoa Mwanza, unajisikiaje??

Umewaumiza wanageita wamebaki kulalamika tu. Gari nayo itarudi muda wowote.

Jiandae wanakusubiri Mwanza mkuu.
 
Suluhu ni Katiba Bora. Tupunguze siasa kwa watendaji tunawavunja moyo na kuondoa mwendelezo na tija kiutendaji.
 
Amefurahia waendelee kutumia fedha vibaya huku Tozo zinaingia,Kwa kifupi Bi Mkola kamkomoa Msukuma na wananchi
Hakuna nilipofurahia hapo. Na kama mlimuona Musukuma kondoo basi nawaambia ni fisi kama ilivyo baadhi ya CCM wengine.

Lipa kodi acha kulalamika
 
Vipi kuna teuzi zimetoka leo? Maana nikishaona mtu anasimangwa hivi najua alisababisha mtu afutwe teuzi ama aondolewe sehemu na kwasasa inawezekana aliyeondolewa amekuwa mkubwa wake katika uteuzi mpya au![emoji2377][emoji2377][emoji2377]
 
Kwani mama yako huyu na msukuma ( Joseph kasheku) Nani mwenye akili?[emoji23][emoji16][emoji16]
 
Miezi kadhaa nyuma Mbunge Musukuma uliibua ununuzi wa gari VXR-V8 Geita, ukaibua ujenzi wa bustani (eneo la kupumzikia), ukaponda ukaongea sana, ukawachongea mkuu wa mkoa Luhumbi na mkurugenzi Geita mji.

Nimeusoma mkeka Mkurugenzi uliemchongea yupo Ilemela, Luhumbi ndio mkuu wa mkoa Mwanza, unajisikiaje??

Umewaumiza wanageita wamebaki kulalamika tu. Gari nayo itarudi muda wowote.

Jiandae wanakusubiri Mwanza mkuu.
Unaandika manini mbona hayaeleweki
 
Serikali ina njia nyingi za kujua mambo, msukuma sometimes ni mpotoshaji na chuki binafsi tu na huwa anatumiwa na wenye husda
 
Ahsante kwa ufafanuzi
 
Atakuwa ama ni Mamsampu ( Mke ) au Goma ( Danga ) la huyo DED anayemtetea na Kumsemea hapa Mkuu.

Cc: albab
Brother sikuwahi fikiria unaweza nivunjia heshima kiasi hiki....

Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom