Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu naye na kakichwa kake kama mbegu ya ubuyu kumbe hana akili kabisa.Mbunge Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
🤣🤣🤣Huyu naye na kakichwa kake kama mbegu ya ubuyu kumbe hana akili kabisa.
Safi sanaMbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio ya kuvuruga amani.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi bungeni jijini Dodoma, Mei 26, 2025 amesema wanasiasa nchini hawapaswi kuingilia maamuzi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtaja Mbunge wa Kawe Askofu Joseph Gwajima kuingilia maamuzi ya Rais Samia kwa kutumia upole wake, kwani ni kuvuka mipaka na kuingilia mamlaka na kuliomba Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wote wanaoingilia mamlaka.
Huyu anaongea ujinga badala ya kumsaidia Rais,mama wa watu analalamika kubakwa hii ndiyo kuitwa,falme na fame zitafitinika naona mkwamo mkubwa mbeleni.Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio ya kuvuruga amani.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi bungeni jijini Dodoma, Mei 26, 2025 amesema wanasiasa nchini hawapaswi kuingilia maamuzi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtaja Mbunge wa Kawe Askofu Joseph Gwajima kuingilia maamuzi ya Rais Samia kwa kutumia upole wake, kwani ni kuvuka mipaka na kuingilia mamlaka na kuliomba Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wote wanaoingilia mamlaka.
Akili apate wapi mtu mshirikina namna hiyo?Huyu naye na kakichwa kake kama mbegu ya ubuyu kumbe hana akili kabisa.
Wale ni machawa wapuuzi sana hakuna mbunge wa maana pale!Na bado, wabunge wenzie walimpigia makofi
na Mimi nimekubali darasa la Saba wasiruhisiwe kugombea hata uenyekiti wa kitongoji , sembuse kuingia bungeni ona sasa bunge limekuwa kama jalalani wanapoingia wehu kuokota makopo na kuongea hovyo wakipaza sauti.Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio ya kuvuruga amani.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi bungeni jijini Dodoma, Mei 26, 2025 amesema wanasiasa nchini hawapaswi kuingilia maamuzi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtaja Mbunge wa Kawe Askofu Joseph Gwajima kuingilia maamuzi ya Rais Samia kwa kutumia upole wake, kwani ni kuvuka mipaka na kuingilia mamlaka na kuliomba Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wote wanaoingilia mamlaka.
Ukikosa ELIMU basi uwe na Akili sasa msukuma Hana vyote ndio maana tunasema KATIBA NI MUHIMU ili kuondokana na MBUZI KAMA hawa akina Msukuma.Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio ya kuvuruga amani.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi bungeni jijini Dodoma, Mei 26, 2025 amesema wanasiasa nchini hawapaswi kuingilia maamuzi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtaja Mbunge wa Kawe Askofu Joseph Gwajima kuingilia maamuzi ya Rais Samia kwa kutumia upole wake, kwani ni kuvuka mipaka na kuingilia mamlaka na kuliomba Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua wote wanaoingilia mamlaka.
Inasikitisha sanaaDah masikini huu ni UDUNI WA AKILI yaani kunawatu wanaongozwa DEBE na wanasema Wanambunge?
Tukubali tupo zama za Mawe Olduvai