PreGE2025 Musukuma: Wanaharakati wa Kenya na Uganda mliwarudisha wa nini? Wangepelekwa kulima mashambani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Dah masikini huu ni UDUNI WA AKILI yaani kunawatu wanaongozwa DEBE na wanasema Wanambunge?
Tukubali tupo zama za Mawe Olduvai
Huyo yukogo ivyo kumbuka kipindi cha Lowassa hajatoka CCM
 
Huyu mbunge alichachaguliwa na watu au alijichagua mwenyewe
ni aibu anaongea ujinga mtupu!
 
Ukikosa ELIMU basi uwe na Akili sasa msukuma Hana vyote ndio maana tunasema KATIBA NI MUHIMU ili kuondokana na MBUZI KAMA hawa akina Msukuma.
Inasikitisha sanaa na kushangaza sijaona baya lolote alilo zungumza ASKOFU GWAJIMA.

Siku mtoto wa msukuma akitobolewa macho ndipo atayakumbuka haya maneno ya GWAJIMA

Kama Kuna mtu ana access na watoto wa msukuma tunaomba asogezewe hiyo HUDUMA then arud Tena kuongea ALICHO kiongea.

GWAJIMA katoka data za watu kuumizwa/ kutekwa na hata kupotezwa MSUKUMA YEYE ANAONGEA KI CHAWA YAANI ANATETEA TUMBO LAKE..
 
Sijajua ni kwa nini vilaza wanajiamini sana kuliko werevu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…