Muswada unajadiliwa Australia, kosa kisheria kumlaghai mtu kwa kusudi la kushiriki nae kimapenzi

Muswada unajadiliwa Australia, kosa kisheria kumlaghai mtu kwa kusudi la kushiriki nae kimapenzi

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Ikiripotiwa kwenye blog ya daily “If the proposal was to become law, telling someone you love them when you don’t, pretending to be rich and well connected when you are not, claiming educational achievements that you don’t possess, denying a complex sexual history – say, with same sex partners – could all conceivably count as fraudulently obtaining sexual consent”. Kama huu muswada ukiwa sheria, kumdanganya mtu kuwa unampenda, kujifanya una hela wakati njaa, kujifanya una PHD wakati uliishia darasa la nne, kukataa kuwa ulikuwa na mahusiano na mtu uliyeshiriki nae kimapenzi yote yangekutia hatiani kuwa unalaghai kupata penzi.

“If the boast that you have made induces somebody to participate in sexual activity with you,” says Andrew Dyer, “then you are liable to spend a long time in jail.” Kwa wale majemedari wanaopenda kujitangaza kwamba wamelala na mtu Fulani, wangekuwa hatiani kupitia sheria hii tena kwenda jela kwa muda mrefu.



Sheria hii ikija Tanzania, kwa wanawake na wanaume, wapi watafungwa kwa kuwa vinara wa kulaghai kuliko wenzake?. Wanawake wengi wana mjumuiko wa urembo, nguo za mitego na vya ziada kuwatamanisha wanaume. Huwezi kuachana na mawigi, kucha bandia, make up, lip stick, sidiria za kusimamisha matiti, manukato ya kuvutia, chuo za G strings na vitu vingi vioivyodizainiwa kuvuruga wanaume na kuwafanya wawaone ni wazuri kushinda walivyo.

Kwa wanaume tunaweza kabisa kulalamika kuwa hivi ni mbinu za kuwafanya wanawake tuwaone wazuri na kututamanisha tulale nao. Hichi kitu kinapofanyika kwa mwanamke ni kosa kwa nchi hizi, ila likifanyika kwa mwanaume inachukuliwa kama maisha.

Kitu kingine ni kuthibitisha kuwa ulaghai ulitumiwa kushawishi kushiriki mapenzi. Mwanamke anaweza kudai kuwa harufu nzuri ya manukato ilimshawishi kulala na mwanaume, lakini baada ya manukato kuisha akajua alikuwa amedanganywa na kulaghaiwa kimapenzi. Hii sheria ikipitishwa Tanzania leo hii, unadhani utafungwa kwa miaka mingapi?

Source:
Lying To Have Sex With Someone Could Soon Be Considered Sexual Assault
 

Attachments

  • giphy.gif
    giphy.gif
    775.6 KB · Views: 1
  • 4215f925c3da0a5d22a2e7a0f7119d42-773676.gif
    4215f925c3da0a5d22a2e7a0f7119d42-773676.gif
    110.3 KB · Views: 1
Sijakuelewa hapo tumechoka kununua vitu feki humu ndani au? au huko nje hahah ina maana wewe unanunuaga hahaha hauko serious kabisa
Kama katika maisha hujawahi nunua, wanasema ipo siku lazima utanunua, ndio maana unakuta wazee wapo Bar wanahangaika na vibinti, kumbe kuna stage fulani ya uanaume waliiruka. Hii ni kwamujibu wa Wahenga.
 
Tanzania watafungwa wengi maana,mwanamke anajifanya anakupenda kumbe kapendea hela ulizonazo na kumbe hela ulizonazo ulikopa ili umpate yeye,wala hauna pesa
Naona wewe utakuwa mmoja wa wafungwa, tutakutana jela aisee
 
Nani wa kwenda mahakamani kuwa amegongwa na mwenye vyeti feki
Hahahh kumbe una vyeti feki? aisee hakimu angeamuru tandikwe viboko vya kutosha ukiingia jela na ukitoka makofi yanakuhusu
 
Hata daladala ikimwacha kesho anatafta mwanasheria wake anapata haki yake.

Kama kipindi kile tunapanda vipanya, basi wangetunga sheria kwa wale wanaookaa kwenye engine waende bure
 
Back
Top Bottom