Muswada wa makosa ya barabarani kosa moja 3m

Muswada wa makosa ya barabarani kosa moja 3m

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
999
Wakuu humu kwa yyte mwenye huu mswada wa makosa ya barabarani tunaomba atuwekee humu ili tuusome, maana tunaambiwa kutokujua sharia hakukufanyi sheria hiyo kutokukubana kisheria.

Na Sisi na Vigari vyetu tusijejikuta tunandikiwa na kuishia kulalamikia Traffic wakati ni wajibu wetu kuusoma.

Naomba tena wajuzi wa mambo tuwekeeni humu huo mswada uliopitishwa Jana Bungeni ili tuusome kwa kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la Serikali ni kuona watu wake wanabaki kapuku.
 
Back
Top Bottom