pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Lugha ndio mpango mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niandike uzi juu ya hiliHuo ni ugonjwa ambao tiba yake kuja kupatikana itakuwa shida siku za usoni.
Sina hakika kama kiongozi ajaye atakubali ujinga huo! Yanayotokea kwa Biden tuyatarajie na hapa kwetu! Mzee baba ni umbwa ka umbwa zingine!!Mahakama hakuna nchi hii.
Unataka kuniqmbia akina Sugu, Lema, Mbowe na wengineo walikaa gerezani miezi minne kila mmoja kwa uwonevu kwasbb sheria ziko kwa kiingereza??
Kuna tatizo la katiba nchi hii. Huyu msukuma asiyejua chochote leo hii katiba inampa mamlaka ya kuqmua chochote ni hatari.
Somo la historia anaamua yy
Wanyama kupelekwa Chato anaamua yy
Sheria ziwe za kiswahili anaamua yy
Chato kuwa jiji anaamua yy
Kura ziibiwe kwenye mabegi anaamua yy
Chanjo ya korona isije nchini anaamua yy
N.k
Kuna tatizo!!!