Muswada wa Maseneta wa Marekani Dhidi ya Tanzania Umepita hatua ya Kwanza

Full Blood Picture

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
4,476
Reaction score
9,583
Hatua kwa hatua, mswada umepita hatua ya kwanza na sasa tunasubiri hatua zingine. Tunasubiri hatua zingine.

1781719818617.png

1781719923076.png
 
Kumbe kuishughulikia Tanzania si jambo jepesi jepesi. Zimewekwa hadi hatua.
Unajua jinsi miswada inavyokuwa processed kwenye bunge la Marekani? yaani Senate na Congress. Siyo kama umatumbini ambako waziri analeta muswada bungeni unapita bila hata kusomwa na wabunge.

Muswada unaonanzia Senate unachambuliwa na sub-commitee, ikiridhika inaupeleka kwenye commitee, ambayo nayo ikiridhika ndipo unakwenda kupigiwa kura na senate yote, ambayo ikimaliza inaupeleka kwenye Congress, ambao nao wataupigia kura, wasipokubaliana nao wanaurudisha tena kwenye senate ili ufanyiwe marekebisho. Iwapo Senate na Congress wakikubalina kwa pamoja ndipo muswada unakwenda kutiwa sahihi na rais.

Hiyo siyo kwenye swala la kuishughulikia Tanzania tu bali ni kwenye miswada yote
 
Unajua jinsi miswada inavyokuwa processed kenye bunge la Marakani? yaani Senate na Congress. Siyo kama umatumbini ambako wazir analeta muswada unapita bila hata kusomwa na wabunge.

Muswada unaonanzia Senate unachambuliwa na sub-commitee, ikiridhika inaupeleka kwenye commitee, ambayo nayo ikiridhika ndipo unakwenda kupigiwa kura na senate yote, ambayo ikimaliza inaupelekwa kwenye Congress, ambao naoa wataupigia kurwa, wasipokubalianza wanaurudisha tena kwenye senate ili ufanyiwe marakebeisho. Iwapo Senate na Congress wakikubalina ndipo muswada unakwenda kutiwa sahihi na rais.

Hiyo siyo kwenye swala la kuishughulikia Tanzania bali ni kwenye miswada yote
umatumbini hahahaha
 
Asante kwa elimu, Nilitaka kuwa chawa wa Tz kidogo kumbe ujinga mzigo.
 
Unajua jinsi miswada inavyokuwa processed kenye bunge la Marakani? yaani Senate na Congress. Siyo kama umatumbini ambako wazir analeta muswada unapita bila hata kusomwa na wabunge.

Muswada unaonanzia Senate unachambuliwa na sub-commitee, ikiridhika inaupeleka kwenye commitee, ambayo nayo ikiridhika ndipo unakwenda kupigiwa kura na senate yote, ambayo ikimaliza inaupeleka kwenye Congress, ambao nao wataupigia kurwa, wasipokubalianza wanaurudisha tena kwenye senate ili ufanyiwe marekebisho. Iwapo Senate na Congress wakikubalina ndipo muswada unakwenda kutiwa sahihi na rais.

Hiyo siyo kwenye swala la kuishughulikia Tanzania tu bali ni kwenye miswada yote
Atakuelewa ??kazoe mambo yao ya kuleta na kupitisha kwa makofi..shenxi type.
 
Unajua jinsi miswada inavyokuwa processed kenye bunge la Marakani? yaani Senate na Congress. Siyo kama umatumbini ambako wazir analeta muswada unapita bila hata kusomwa na wabunge.

Muswada unaonanzia Senate unachambuliwa na sub-commitee, ikiridhika inaupeleka kwenye commitee, ambayo nayo ikiridhika ndipo unakwenda kupigiwa kura na senate yote, ambayo ikimaliza inaupeleka kwenye Congress, ambao nao wataupigia kurwa, wasipokubalianza wanaurudisha tena kwenye senate ili ufanyiwe marekebisho. Iwapo Senate na Congress wakikubalina ndipo muswada unakwenda kutiwa sahihi na rais.

Hiyo siyo kwenye swala la kuishughulikia Tanzania tu bali ni kwenye miswada yote
Aisee wenzetu wanahakikisha Msaada Una maslahi mapana ya Taifa lao
 
Back
Top Bottom