Muswada wa Maseneta wa Marekani Dhidi ya Tanzania Umepita hatua ya Kwanza

Kumbe kuishughulikia Tanzania si jambo jepesi jepesi. Zimewekwa hadi hatua.
Unajua jinsi miswada inavyokuwa processed kwenye bunge la Marekani? yaani Senate na Congress. Siyo kama umatumbini ambako waziri analeta muswada bungeni unapita bila hata kusomwa na wabunge.

Muswada unaonanzia Senate unachambuliwa na sub-commitee, ikiridhika inaupeleka kwenye commitee, ambayo nayo ikiridhika ndipo unakwenda kupigiwa kura na senate yote, ambayo ikimaliza inaupeleka kwenye Congress, ambao nao wataupigia kura, wasipokubaliana nao wanaurudisha tena kwenye senate ili ufanyiwe marekebisho. Iwapo Senate na Congress wakikubalina kwa pamoja ndipo muswada unakwenda kutiwa sahihi na rais.

Hiyo siyo kwenye swala la kuishughulikia Tanzania tu bali ni kwenye miswada yote
 
umatumbini hahahaha
 
Asante kwa elimu, Nilitaka kuwa chawa wa Tz kidogo kumbe ujinga mzigo.
 
Atakuelewa ??kazoe mambo yao ya kuleta na kupitisha kwa makofi..shenxi type.
 
Aisee wenzetu wanahakikisha Msaada Una maslahi mapana ya Taifa lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…