Mutiny in Juba?

Mutiny in Juba?

Jafar

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Posts
1,136
Reaction score
54
Kuna taarifa hii nimeletewa na jamaa yangu anafanya kazi Sudani ya Kusini pale Juba, inasema "HALI HUKU LEO SIO SHWARI, JESHI LIMEFUNGA BARABARA ZOTE, HAKUNA MOVEMENT YA WATU WALA MAGARI.ASKARI WAMEZAGAA MITAANI, HATUJAJUA KUNA NINI. TUPO SISI FOREIGNERS PEKE YETU HAPA KIWANDANI"

Kuna yeyote mwenye tetesi zaidi?
 
Back
Top Bottom