Mutuz Le Baharia Big Show @ Dodoma,Bongo!

Mutuz Le Baharia Big Show @ Dodoma,Bongo!

Le.Mutuz pamoja sana
Le Mutus Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!...Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!.........kama mpo pamoja kwenye kubeba mabox ni sawa lakini siyo ubunge.
 
Kuna haja ya kufanya mazoezi kwa bidii..hata diet ikiwezekana
 
wii.jpg

Tunahitaji vijana kama hawa watakaoidfanya tanzania paradiso.......

Jamani Yo Yo hiyo avatar inanipa shida kweli
 
wii.jpg

Tunahitaji vijana kama hawa watakaoidfanya tanzania paradiso.......

Mtoa rushwa huyu? Aifanye tz kuwa paradiso, thubutuuuuu. Ila huyo mtu ajazaliwa bado.
 
Le Mutus Pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!...Ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!.........kama mpo pamoja kwenye kubeba mabox ni sawa lakini siyo ubunge.

Arudi marekani akabebe mabox,si hatumtaki, jua twalijua wenyewe.
 
Thanxs to 'Arusha Mambo' na radio yao for the last two days kama wabunge wetu ndio wale, get a life money. Achana na kuangaika na mtu inaonekana kama vile ni personal attacks katika wapuuzi ya mamia waliopo. Si unasema unaajiri watu may be you should stick with that. Personally nimeanza kuchoka na pumba zako that is not to say im not glad le baharia failed amesha ji-expose vya kutosha na he wasn't the right candidate, but geezer don't make the meal out if Khaa.
 
Dawa ni kutubu tu!!
Le mutuz ukatubu maana si kwa makaburi haya kufukuliwa!!
 
Huyu jamaa sjui hata hua namuonaje yn. Yupoyupo tu kama wenzie akina Kungwi la Insta, Katibu wa Wambea, Usipojipanga Ntakupanga. Watu wazima lkn bure kabisa upstairs.
 
- Interesting sana, ila sorry nilikuwa sijaiona I am humbled sana wandugu na tupo wote one page!

MUCH RESPECT!

William.
Mnataka mmtoe kibajaji AKA Lusinde? Nasikia huyu naye AKA yake ni kibamia au kinukta
 
Back
Top Bottom