Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wamehamia kwa pididiLakin hawatakusikia walivyo wabishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamehamia kwa pididiLakin hawatakusikia walivyo wabishi
Umeiweka sawa😂😂Wala sio kweli. Ulizotaja ni siri za utajiri.
Umasikini siri zake ni za kiungwanakabisa
- uvivu
- starehe nje ya uwezo
- kutoweka akiba
- puuzia misingi ya kiuchumi.
huhitaji roho mbaya ili uwe masikini.
Umasikini unaweza upata ukiwa mstaarabu aliyetukuka