Muuaji aliyeaminiwa na mzazi wa aliyeuawa

Muuaji aliyeaminiwa na mzazi wa aliyeuawa

Sasa itaendelea, imeshageuka kuwa igizo? Hii si ni story ya kweli na ilishatokea, we simulia iishe bana.
 
Ama kweli umdhaniaye ndiye siye. na pia kikulacho ki nguani mwako. tupe mwendelezo. kuna vitu tunajifuinza humu.
 
Isije kuwa tunalaani kumbe mtu keshasepa zake na israel mtoa roho hahaaaaa...!!!!
 
Jamaa huyo hakuna mwenye taarifa nae huwenda kweli hayupo nasi katika ulimwengu wa Mwili.
Kuna mtu alileta uzi alisema jamaa alipata ajali aliangukiwa na vioo so vikawa vimemchana mikono haifanyi kazi na kapelekwa nje kwa matibabu zaidi....
 
Kuna mtu alileta uzi alisema jamaa alipata ajali aliangukiwa na vioo so vikawa vimemchana mikono haifanyi kazi na kapelekwa nje kwa matibabu zaidi....
Kumbe mgonjwa kila la kheri kwake apate nafuu, Israel alikuwa anambeba kabla hajamalizia hii Hadithi.
 
Back
Top Bottom