Muuaji anayetumia pikipiki akamatwa na polisi maeneo ya Tabata Dar es salaam

Muuaji anayetumia pikipiki akamatwa na polisi maeneo ya Tabata Dar es salaam

du bora na sheria sasa ichukue mkondo wake
 
Sasa kama ndio hivyo akitokea mtambuzi akakanusha bado haja kamatwa je?fanya mpango uongezee mnofu wa hii habari mwana....ili tukuelewe au unasemaje kingasti.
 
Maafande mpo huku JamiiForum hebu wekeni picha ya huyu gaidi..
na ule utajiri wake uuzwe wafidiwe familia ya marehemu hakikisheni mnamtandika vya kutosha kabla hamjamfikisha mahakamani
 
si ile thread nyingne kuna mt alisema amekutana nae uso kwa uso segerea?sa ni nini tena?
 
Km amekamatwa kweli ni habari njema.....lkn yote ni uzembe wetu kutoa umiliki silaha kwa yeyote aombae hata machizi! Wanaishia kututoshia kwenye ma-bar...
 
Kuna thread ilizungumzia singasinga mwenye pikipiki anayepiga watu risasi baada ya kuwasababishia ajali kusudi. Je ndiye huyo?
 
Kwa kuwa ni singasinga atashitakiwa kwa manslaughter na si murder!!!!! Na kisha baadye itaonekana alikuwa UNSOUND Hivyo kukosa vigezo vya kushtakiwa na kuachiwa huru!!!
......The life goes on!!!!
.....Nasema haya kwa uchungu kwa kuwa yamenikuta....
 
Hata polisi ,jamii n afande sikuhizi mkuu na wapo osyterbay
 
Tetesi zilizopo ni kwamba alikua akijiandaa kutoroka kwenda nje ya nchi..
 
Back
Top Bottom