Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Madam amekamatwa tungependa awekwe hadharani ili watu wamtambue huenda wangetoa mengi zaidi kwa wale watakao mtambua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ile thread nyingne kuna mt alisema amekutana nae uso kwa uso segerea?sa ni nini tena?
Hii imetokea leo mapema.source afande wa oysterbay
kakamatwa nilikwenda oysterbay na kamanda swai alithibitisha.walimpeleka sitaki shari.kakutwa na bunduki 3 moja ndio ya halali.confirmed
Inawezekana raia ukabeba bunduki ukiwa katika pikipiki na isionekane? Labda iwe ni usiku na uwe umevaa koti refu. Mimi nilidhani alikuwa akitumia bastola/pistol.kakamatwa nilikwenda oysterbay na kamanda swai alithibitisha.walimpeleka sitaki shari.kakutwa na bunduki 3 moja ndio ya halali.confirmed
si polisi wamemjibu Pengo kuwa muuaji sio kondoo...
Gavar nilopata hivi punde kwamba muuaji wa padri zanzibar kashapatika na jina lake omari mussa mkaazi wa mwanakwerekwe zanzibar.