bhikola
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,131
- 1,663
- Thread starter
- #21
Mke Wa Marehemu Kwa MTAZAMO Wangu Abanwe Vizuri Na Uchunguzi UFANYIKE Kwa Ndani Zaidi, Kwani Kuna Dalili Za Yeye Kuwa ANAHUSIKA!!! Kwani Muda Huo Alikuwa Wapi!!!! USIJE Ikawa Huyo Houseboy Ametekeleza Maagizo Ya Mke Wa MAREHEMU, Kwa MALIPO Hayo Ya Mil 5!! Na Mke Wa MAREHEMU Atarithi Mali Zote, Ndio Maana Huyo Houseboy Hajakimbia Hapo Nyumbani, Ingawa Hiyo Pesa Alizodai Kuzitamani Alizipata, Lkn Alibaki Hapo! Je, KWANINI Hakutoroka!!!??? Huyo Kijana Ametumwa Tu Kazi!! Sasa ANAJARIBU KUFICHA UKWELI Wa Mpango Mzima Wa MAUAJI HAYO!!
Daah yani mkuu unaakili sana
this is what we call analytical thinking
kudos