Muuaji wa afisa wa TANAPA Arusha akamatwa



Daah yani mkuu unaakili sana
this is what we call analytical thinking
kudos
 
Mbona too straight... Jamaa katoa full confesion kirahisi sana.

Too good to be true

ukiona hivyo ujue hana roho ya mauaji, lazima kuna kitu nyuma ya pazia
pia inawezekana alihojiwa kwa maneno na vitendo, maana hawa jamaa nao bana, kumbuka huwa wanahoji majambawazi yaliyokubuhu mpaka yanafanya confession
 
RIP Marehemu, lakini pia kitendo cha jeshi la POLISI kulivuta gari mpaka kituo cha POLISI kabla ya kulifanyia ukaguzi wa kina mpaka ndani ya buti la gari ni hatari kubwa.

Maana katika zamana hizi POLISI wanaweza kupeleka bomu likalipuka ndani ya kituo cha POLISI.
 
Mh yani jamaa hajitambui kabisa ushahidi wote huo nyumbani?? Hiyo damu ya marehemu aliyoimwaga itamwandama sana, unaua mtu kwa mil 5 si ujinga huo

Hapo Mkewe lazima anahusika na mauaji,mwanamama wa 38 bado analipa.


Kuna kitu zaidi ya pesa hapo, tusubiri tutasikia mengi
 

Hata mimi hiyo makitu ya kulivuta gari hadi Polisi he ilinishangaza sana. Kisheria mtuhumiwa akikamatwa huwa anapekuliwa pale pale alipokamatwa and then ndo anapelekwa kituoni. The same applies kwa case ya gari hilo kukutwa limepaki kwa muda hadi wananchi wakalitolea taarifa!
 
Mi maelezo cjayaelewa hata kidogo nmepesi kama Yale ya kukataza kuaga mwili eti kipindupindu. Pole kwa familia na kwa taifa kwa ujumla maana alikua na mengi ya kitaifa Ndo hayupo tayar watoto hawana Baba tena hakuna namna hapo

Sounds fishy to me too, police wamepika kuficha ukweli. Hawajui hata kutunga story.
 
Kwa hiyo ni panga moja tu ikakata shingo , kuku tu unamdhibiti kisawasawa kumchinja, usijaribu mbuzi shughuli yake pevu. Sasa huyu mtu mzima tena ni mjeda wa intelijensia.
Hawa jamaa kweli wamefoji vyeti au Watanzania ni vilaza sana kuamini hii taarifa.
 
Kuna la ziada....

Hayo maneno ya houseboy ni version 1 , akibonyezwa zaidi kutakua na muendelezo. .

Polisi wakiamua kufanya uchunguzi wao vizuri, tunaweza kusikia mengine kabla marehemu hajazikwa hiyo 28th.
 
Kuna lingine hapo ''polisi walimwomba mama funguo ya Akiba''!!INA maana alikwenda NATO kituoni?! Magari yetu haya ya mtumba kwanza ni nadra sana kuwa na funguo mbili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…