mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Watu wako busy wanafoji vyeti ubunifu watautoa wapi?Wizara iko bize na mambo mengine
kwakweli..... diamond angefaa kutengeneza hio scenarioMkuu nakwambia tena, labda wangetumia ujanja wa kumpa mchango diamond au king kiba , ajifanye kaenda kutalii yuko mbugani ,kisha abruptly wakutane na kupeana gwala, kisha domo arushe kwa page zake za kijamii mfano fb, inst, YouTube, n.k kisha waandishi wa kwenye blogs wazichukue na kuzisambaza kwa mitandao zako, hapo ungeona habari ya ujio wake ime hit the point of target. Ni mtizamo tu lakini mkuu.
DJ Fresh Prince and Jezz Jeff, where is Jadda Pinkett?
mbona kwenye fb page tanapa wamemuwekaukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??
please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
Yupo Tanzania huyo jamaa aliyepiga nae picha ni pilot wa serenget balloon. Hapo ni serenget sehemu ballon zinapo land then wanapata breakfast. Sio KenyaNaweza nikaamini yupo Tz
Maana kila nchi ina mg'ang'ania si kenya ,Uganda
Haya mambo hayaendi hivyo... kabla ya kusikitishwa na wizara ulitakiwa kwanza kufahamu Willy amekuja kuja vp Tanzania!!!Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
Hawa jamaa vipi huyo porini kavaa Tai? na huyo Punda Milia si sawa Watu wa haki za Wanyama wako wapi? imagine Punda Milia wamuone Willy Kafanana nao kuanzia kiunoni na juu binadamu Punda watakuwa wanaowaogopa Binadamu Mr. Smith omba radhi harakaNadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
Bingwa hiyo troused ya will Smith ni Dolce and Gabbana zebra trousers price tag yake ni us dollars 995 , google kwa uwakika zaidi pesa ndefu kibongo bongoKisuruali chake hicho isitoshe kauziwa milioni nane, mgeni njoo faru john apone
Ha ha ha ha ha ha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usije shangaa kukuta asilimia kubwa ya walioko kwenye board ya utalii hata hawamjui Will Smith. Movie stars wanaowajua ni akina Ray, JB, marehemu Kanumba na wale wa Nollywood, na pengine wafilipino na wakorea kidogo.