Muuguzi aliyesajiliwa anatafuta kazi dodoma

Muuguzi aliyesajiliwa anatafuta kazi dodoma

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Kwa yeyote aliye na nafasi ya uuguzi au utafiti wa afya nipo tayari kufanya kazi hiyo. Nina uzoefu wa miaka 5 katika hospitali kubwa za serikali. Kwa sasa nimehamia dodoma na ninatafuta kazi.
 
Back
Top Bottom