Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

Munari

Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
79
Reaction score
99
Habari ndg...

Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta

Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama
Kufanya uchunguzi wa afya akili yako (Mental status examination)
Kutoa elimu ya afya akili na ushauri mzuri
Pia kutoa tiba (dawa za akili) kulingana tatizo na kumfuatilia mteja
Mteja mweMagonjwa haya...Sonona, msongo wa mawazo, uraibu wa vilevi kama pombe, dawa za kulevya, bangi, kifafa cha kuchanganyikiwa,Skizophrenia(Schizophrenia),Kukosa usingizi, kula au kutokula kupitiliza, mabadiliko ya tabia na mtazamo hasi wa maisha nk
Mwisho mambo ndoa,malezi watoto na masuala ya kiroho pia

Asante Karibu
 
All the best mkuu. Na hakika utafanikiwa.

Wazo langu:
*Hauwezi kuanzisha ofisi yako binafsi ukawa "private psychologist" kama sijakosea yaani mtu unaetoa hiyo huduma kwa watu ukawa una charge kwa sessions au kwa masaa?

Nchi za wenzetu naona hiyo huduma ina bamba sana na watu wanaiheshimu sana.

Labda sijui ninachokisema maybe kuna vibali unatakiwa uwe navyo ila ebu fikiria.
 
Asante ndg wazo zuri najipanga
 
Back
Top Bottom