TANZIA Muuguzi wa Hospitali ya Mirembe auawa kikatili na Mumewe kwa kukatwa mapanga

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Mirembe Hospitali inasikitika kuwatangazia kifo cha muuguzi mwenzetu Rufina Komba , ambaye amefariki asubuhi ya leo.

Kifo cha kikatili kwa kukatwa na mapanga na kuchomwa moto na mumewe.

Rufinaa.jpg
 
View attachment 2076243
R.I.P marehemu dah ungejua ungekuwa unamtibu mmeo taratibu ulijua yupo timamu kumbe kichwani hamnazo kaamua kukufanyia ukatiri huu Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi Rufina, malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom