kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Sasa ole wenu wasinsi na sharati. Ukisinzia na msinsi mwenzio vikamchemka ghafla: Utaota unalambwa mapanga yashingoni!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, itabidi akaonyeshe hayo mapepo yanaishi wapi ili yadhibitiwe!Mkuu ipo haja ukatoa maelezo kituo cha polisi kilicho karibu na wewe.
Unajua sana inabidi tukufanyie mahojiano.
Una haki ya kubaki kimya chochote utakachosema kinaweza kutumika against you 😯😯😯☹☹☹☹
Wengine wana hasira kali na dukuduku, akidhamiria kitu mpaka akifanye.Kuna pepo linapita la kuuana. Wenye wenza tuwe makini kama mwenzio hasomeki bora ukimbie faster
[emoji848][emoji848][emoji848]Hapo mkuu haujatoa elimu umeharibu fani za watu, nadhani hauna uzoefu, maji ya moto tena!
Hiko kitu huwa kinapingana na mazingira.
Ukitaka kiwe cha moto na tight, piga maji baridi(ya friji ama mtungini).
Na ukitaka kiwe cha baridi na loose, kipige maji moto!
Haya maneno siyasemi mimi, ni kwa mujibu wa makungwi.
Tatizo wauguzi wengi wanachipuka sana tena wazi waziMirembe Hospitali inasikitika kuwatangazia kifo cha muuguzi mwenzetu Rufina Komba , ambaye amefariki asubuhi ya leo.
Kifo cha kikatili kwa kukatwa na mapanga na kuchomwa moto na mumewe.
View attachment 2076243
🤣🤣 Bado nayataka sasa unanisaidiaje kuwa baridi kitu chengine aisee..😂Wewe ukituliza watulizwaji wanajicharge. Sasa subiri shughuli yake🤣🤣
Heri kuwa moto au baridi nakuambia😆😆😆
Mungu wangu[emoji15][emoji15][emoji15] kuna watu wana ujasiri. Kwanza mtu mnayepigana wa kumuogopa. Bora mwanamke domo kaya ataongea kutwa nzima ila wa kupigana ni rahisi kukuchenchiaWengine wana hasira kali na dukuduku, akidhamiria kitu mpaka akifanye.
Nikiwa na mwanamke wangu wa Kihehe, kuna siku tukazinguana tukapigana. Nikajua yameisha. Wakati tumelala usiku, ghafla nikakurupuka kutoka usingizini, nikamkuta kashika kisu kashikilia dungu langu. Nikamtimua
hapa kimasihara imehusika.
Wanawake punguzeni mdomo mdomo na dharau kwa waume zenu.
Yaani dada zetu siku hizi wanaweza kufanya makosa halafu unaongea nae kistaarabu anakuletea ufidhuli mixer dharau na mdomo mchafu.
Hio 50/50 mkiiendekeza itawaponza. Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaanzaje anzaje kumshikia panga mwanamke mnyenyekevu na mtiifu?
Ni dada wa rafiki yangu ana 29 au 30Yawezekana ya chini ni ya enzi zake za ubinti.
[emoji15][emoji3]Wengine wana hasira kali na dukuduku, akidhamiria kitu mpaka akifanye.
Nikiwa na mwanamke wangu wa Kihehe, kuna siku tukazinguana tukapigana. Nikajua yameisha. Wakati tumelala usiku, ghafla nikakurupuka kutoka usingizini, nikamkuta kashika kisu kashikilia dungu langu. Nikamtimua
Kama uko hivyo,mumeo anafaidi.Wanaume sijui mnakwama wapi? Nyie ndio waamuzi wa nani anafaa kuwa mke na nyie ndio mnawatafuta wenyewe hao wanawake wenye midomodomo na dharau.
Chagua mwanamke ambaye anakuheshimu na anayekutii na umpende na kumuongoza vile unavyotaka.
Hakunaga 50/50 mwanaume ni mwanaume tuu na mwanamke ni mwanamke tuu. Kila mmoja ana majukumu yake na miongozo kiimani na kwa desturi; na haikanushiki kwamba mwanaume ndio kichwa na kiongozi wa kwa mke
Issue ya kushikiana mapanga na kuuana haihusiani na uanaume au uanamke ila ni roho mbaya ya mtu, ndio maana wapo wanaume wanaoshika mapanga na wapo wanawake wanaoshika hayo mapanga pia
Kaa kwenye nafasi yako kama mwanaume fanya majukumu yako kama mwanaume huku ukimwomba Mungu uone kama utakuja kumshikia binadamu mwenzio panga
Roho za mauti zinatanga tanga tu zikikuvamia ndo Kama hivyo na wewe unalianzisha ...!!!Hii nayo inakaa wapi
Siku zote kuongea ni rahisi kuliko kutenda. Kwanza,wewe umeolewa? kama unasadiki unayoyaongea,basi mshukuru Mungu.Wanaume sijui mnakwama wapi? Nyie ndio waamuzi wa nani anafaa kuwa mke na nyie ndio mnawatafuta wenyewe hao wanawake wenye midomodomo na dharau.
Chagua mwanamke ambaye anakuheshimu na anayekutii na umpende na kumuongoza vile unavyotaka.
Hakunaga 50/50 mwanaume ni mwanaume tuu na mwanamke ni mwanamke tuu. Kila mmoja ana majukumu yake na miongozo kiimani na kwa desturi; na haikanushiki kwamba mwanaume ndio kichwa na kiongozi wa kwa mke
Issue ya kushikiana mapanga na kuuana haihusiani na uanaume au uanamke ila ni roho mbaya ya mtu, ndio maana wapo wanaume wanaoshika mapanga na wapo wanawake wanaoshika hayo mapanga pia
Kaa kwenye nafasi yako kama mwanaume fanya majukumu yako kama mwanaume huku ukimwomba Mungu uone kama utakuja kumshikia binadamu mwenzio panga
Adhabu ya kaburi Tena wakati kakatwa mapanga na kuchomwa moto.R.I.P marehemu dah ungejua ungekuwa unamtibu mmeo taratibu ulijua yupo timamu kumbe kichwani hamnazo kaamua kukufanyia ukatiri huu Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi Rufina, malipo ni hapa hapa duniani.
Hii coment ya ajabu sana .kosa lake nini la kusema mapepo au pepo ndo weweMkuu ipo haja ukatoa maelezo kituo cha polisi kilicho karibu na wewe.
Unajua sana inabidi tukufanyie mahojiano.
Una haki ya kubaki kimya chochote utakachosema kinaweza kutumika against you [emoji54][emoji54][emoji54][emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]
Siku zote kuongea ni rahisi kuliko kutenda. Kwanza,wewe umeolewa? kama unasadiki unayoyaongea,basi mshukuru Mungu.